Young talented upcoming Bongo Fleva recording artist, singer, and songwriter, Lody Music is here with a brand new joint titled Linapotea, produced by Aceblack.
SIMILAR: Lody Music – Kubali
REPEATABLE LYRICS
Nawe si uliweka utaniweka moyoni honey ama nakosea
Penzi limekata njiani mimi nashindwa kuamin daah mama unanionea
Ina maana umenishusha thamani umenifunza, na ulivyolelewa
Wananisheka jirani wanaona ya ndani penzi naelemewa
Ina maana imekata mipangoo haunipi mambo maana tumekaa sanaa
Najua nilitibua mambo baadala nilete jango nikaleta banana
Penzi linapoteaa (walaah penzi letu linapoteaa)
Tunapoteana walah mmh
Penzi linapotea eeyee
Junapoteana walah mmm
AUDIO Lody Music – Linapotea MP3 DOWNLOAD
DOWNLOAD
RELATED SONGS
- Lody Music – Kubali
- Jose Chameleon – Jamila
- Bahati – Wewe ni Mungu
- Dk Kwenye Beat – Mungu Wa Bahati Ft. Bahati
- Marioo – Beer Tamu
Leave a Comment