VIDEO

VIDEO: Furaha ya nandy na billnass hadi machozi

VIDEO Furaha ya nandy na billnass hadi machozi

Star wa muziki Tanzania the African Princes ametoa shukrani zake za dhati kwa watu wote waliofanikisha zoezi la utoaji mahali baina yake na billnass akiandikia kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika;

Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walio kuwa na sisi siku yetu ya mahari jana neno ASANTE ndilo tunaweza kusema! Media zote zilizo support ndani na nje ya nchi hatuna cha kulipa kwa suport yenu…. Pia tuna Omba radhi kwa wale ambao walitamani kuwa nasi pamoja Jana na haikuwezekana kwa Sababu zilizo nje ya uwezo wetu na wao nyinyi nyote mna umuhimu kwetu siku special na kubwa inafika tuta jumuika wote. MUNGU ni Mwema sana na imefanyika kuwa kweli!

VIDEO Furaha ya nandy na billnass hadi machozi

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment