NEW AUDIO

Diamond Platnumz – Nitarejea Ft Hawa

AUDIO Diamond Platnumz – Nitarejea Ft Hawa MP3 DOWNLOAD

Naseeb Abdul Juma Issack, popularly known by his stage name Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo Flava recording artist, actor, dancer, philanthropist, and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. 

SIMILAR: Diamond Platnumz – Fine

Multi talented Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Diamond Platnumz , came through will a new hits song titled Kamwambie

REPEATABLE LYRICS

Diamond Platnumz – Nitarejea Ft Hawa Lyrics

Vipi mizigo umeshaweka tayari
Sijechelewa nkaachwa na gari
Basi jikaze usilie mpenzi
Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi

Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna
Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna
Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina
nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka tum
aa

Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea
Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea
nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea

Listen more….

AUDIO Diamond Platnumz – Nitarejea Ft Hawa MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment