GOSPEL

Mch. Abiudi Misholi Ft. Piere Mwamba – Lini Utapita Kwangu

AUDIO Mch. Abiudi Misholi - Lini Utapita Kwangu MP3 DOWNLOAD

Well know Ugandan gospel recording singer artist, and songwriter, Abiud Misholi put a label on a new gospel hit song named Lini Utapita Kwangu Featuring Piere Mwamba

SIMILAR: Mch Abiud Misholi – Nani Atanitazama

REPEATABLE LYRICS

Mch. Abiudi Misholi Ft. Piere Mwamba – Lini Utapita Kwangu Lyrics

Lini utapita kwangu
Lini utapita kwangu
ninataka niguze fimbo lako
Lini utapita kwangu

Nimeskia habari zako na shuhuda ulizofanya
Ninataka na Mimi nione kwa macho
Ninauliza lini utapita kwangu
Kuna watoto wawengine waliokua Hawafai
Umewaokoa na kuwabiriki nauliza lini utapita kwangu
Lini Utapita kwangu

Listen more….

AUDIO Mch. Abiudi Misholi – Lini Utapita Kwangu MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment