GOSPEL

Mch. Abiudi Misholi – NIMECHOKA UNILINDE

AUDIO Mch. Abiudi Misholi - NIMECHOKA UNILINDE MP3 DOWNLOAD

Well know Ugandan gospel recording singer artist, and songwriter, Abiud Misholi put a label on a new gospel hit song named NIMECHOKA UNILINDE

SIMILAR: Abiud Misholi – Simama Mwenyewe

REPEATABLE LYRICS

Mch. Abiudi Misholi – NIMECHOKA UNILINDE LYRICS

Nimechoka kabisa, Macho yangu mazito
Macho yako baba angu, Yanilinde usiku
Niliyokukosea, Mungu niagizie
Damu ya yesu kristo, Inioshe kabisa

Ndugu zangu ee mungu, Uwalinde usiku
Wakubwa kwa wadogo, Wote walale raha
Wenye shida tuliza, Uwafute machozi
Uwaponye wote, Waumwao usiku huu

Listen more….

AUDIO Mch. Abiudi Misholi – NIMECHOKA UNILINDE MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment