NEW AUDIO

Alikiba – Mshumaa

AUDIO Alikiba – Mshumaa MP3 DOWNLOAD

Appreciable and most respected Tanzanian recording artist, singer and songwriter Alikiba is back with new banger titled Mshumaa

SIMILAR: Alikiba Ft Lady JayDee – Single Boy

REPEATABLE LYRICS

Alikiba – Mshumaa Lyrics

Ule ugonjwa ulioniacha nao, Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo, Yamebaki jina
Hospitali oooh, Za dunia nzima
Nimezunguka kote, Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh), Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina), Jina lako ninalo
Uwepo wako, Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza (Ungeniacha hata na mshumaa)

Listen more….

AUDIO Alikiba – Mshumaa MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs


About the author

Kichwa's son

Leave a Comment