GOSPEL

Bahati Bukuku – Dunia Haina Huruma

AUDIO Bahati Bukuku – Dunia Haina Huruma MP3 DOWNLOAD

Well known Tanzanian veteran gospel musician celebrated across the continent for her inspiring gospel tunes, Bahati Bukuku put a label in a brand new gospel song named Dunia Haina Huruma

SIMILAR: Bahati Bukuku – Umewazidi Wote

REPEATABLE LYRICS

Bahati Bukuku – Dunia Haina Huruma Lyrics

Duniaaaaa, Dunia haina huruma
Dunia haina huruma, Dunia haina fadhila
Dunia haina utu-u, Na maisha yangu
Dunia haina huruma mwenzenu nasema

Ni asubuhi na mapema, Simu ya mkononi inaita
Naitazama kwa makini, Ni namba ya mume wangu
Sauti ya mwanamke inasikika, Inayorarua moyo wangu
Moyo wangu unafura hasira, Kwa taarifa ninazopata

Listen more….

AUDIO Bahati Bukuku – Dunia Haina Huruma MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment