NEW AUDIO

Harmonize – Ikwepeshe Lyrics

Harmonize – Ikwepeshe Lyrics

Well known Tanzanian recording artist and Konde Gang serial hit sing maker, Harmonize , put a label on a new hits titled Ikwepeshe

SIMILARHarmonize – Mdomo Ft Ibrah

On top of that He is well known for his songs “Kwa Ngwaru” featuring Diamond Platnumz, and “Show Me” featuring Rich Mavoko.

Harmonize – Ikwepeshe Lyrics

Yao yao… amapiano
Ahahaha Jeshi!
Yeah! Dawa ya kunywa pombe
Zishuke hapo kwa chini
Na usiombe ushike baby
Uikute ipo mwezini

We dada unafungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta igunga
Ukaikuta igunga huko (Usiseme hivyo)
Yani imeteleza hadi Igunga huko
Ukaikuta Igunga huko, olala eeh

Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Fanya kama unabana miguu

Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa, olaa lala

We in the club all night
Many things I don try
Omo boy don hide
Gas me up no time, no time

Oh wow, I’m trending
And I don’t know why, oh why
Oni so’kuso
Talo sope omo yen o m’orin ko?
Oni so’kuso

If you get machete, moni ibon
But k’emi sha ti lowo
K’emi ba le na’wo
I wan get, I don’t know
Life is Yolo
You don’t know tomorrow
Oh-oh-oh

Extra-ordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again
Extra-ordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again, again no-no

We dada unapofungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umefungwa
Hainaga macho, haionagi mbele
Unaweza ikuta Igunga

Ukaikuta Igunga huko (Usiseme hvyo)
Yani imeteleza hadi Igunga Huko
Ukaikuta Igunga huko, olaa lala eh

Asa Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe

Fanya kama unabana miguu
Aya Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Isijefika kwenye kichuguu
Twende ikwepeshe, ikwepe
Ikwepeshe, ikwepe
Olalaa, olaa lala

Listen Audio Below…..

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment