LYRICS

LYRICS: Jux – Simuachi

Jux - Simuachi LYRICS

Well known Tanzania recording artist, singer, songwriter, serial hit sing maker and “african boy” brand owner Jux put a label on a new love song titled Simuachi

SIMILAR: Jux – Simuachi

Jux – Simuachi Lyrics

Uuuuuuuuh
Yeeeeeeiyeeeeee

Nina kila sababu, Ya kuwa na yeye.
Kwake kichanga nabembelezwa na yeye.
Wake ustaarabu, Nini nipewee.
Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe.
Sasa mapema, Narudi nyumbani,
Vitu navikuta mezani, Silisili vya mtaani, Mwenzenu.

Kwa sasa, Mawe nipigeni, Maneno nisemeni.
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi. (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue) Maneno nisemeni.(Na ridhika)
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi.

Ooooooooooh
Ooooooooooh
Ooooooooooh
OOooooooooh

Wa nini, Ung’adung’adu kufukuza mende.
Ya nini, Kuwa waruwaru nikuumize uende.
Kwa nini, Niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge.
Niamini, Nawe usije ukapata bichwa ukaota mapembe.
Sababu we ni mzuri, Umepitiliza.

Penzi lako, Mi linaniliza.
Kwa sasa, Mawe nipigeni (Nipigeni) Maneno nisemeni.
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue) Maneno nisemeni.
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi.

Oooooooooh
Oooooooooh
Oooooooooh
Oooooooooh

AUDIO Jux – Simuachi MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD MP3

Related Songs

About the author

Kichwa's son

Leave a Comment